Dainess Sisa
Wasifu:
Mfanya biashara
Alipoonekana mwisho: Dar es Salaam
10/29/2025
Aliipigwa risasi na alipelekwa hospitali ila hawakumpokea lakini baadaye hakuonekana tena Mwili wake ulipatikana Kivule hosptal 24 November na alizikwa Novemba 26, 2025