‹ Nyuma
Freddy Philippo
Hali:
Hajulikani Alipo
Umri:
—
Wasifu:
—
Alipoonekana mwisho: Dar es Salaam
10/29/2025 Hajaonekana wala kupatikana hewani na familia iliambiwa kuwa alipigwa risasi ila mtoa taarifa hakusema kama alijeruhiswa au alifariki