Juma Iddy Koe
Wasifu:
—
Alipoonekana mwisho: Dar es Salaam
10/29/2025
Alikuwa kwenye maandamano na alipigwa risasi alipiga simu kwa ndugu yake kuwa yuko ndani ya ambulance uya Jeshi na atamtafuta maana hali si nzuri nje. Hajaonekana hadi leo