Michael Anthony Mnkai
Wasifu:
—
Alipoonekana mwisho: Dar es Salaam
10/29/2025
Alipigwa risasi na polisi na mwili wake ulionekana na familia zahanati ya Kigogo magenge ila baada ya hapo familia haijapata tena mwili. Wameamua kufanya misa ya kumwombea