‹ Nyuma
Emanuel Lucas Simwanza
Hali:
Hajulikani Alipo
Umri:
—
Wasifu:
Kiongozi wa Chadema
Alipoonekana mwisho: Tabora
10/29/2025 Hajaonekana tokea tarehe 29 na ndugu wameenda hospitali na mortuary zote, vituo vya polisi ila hajaonekana