Isaac Charles
Wasifu:
—
Alipoonekana mwisho: Dar es Salaam
10/31/2025
Aliondoka maeneo ya Ununio akiwa na pikipiki yake ya Sanlang Neykundu. Hapakuwa na kituo cha mafuta kilichokuwa wazi hivyo aliondoka akisukuma tu kwamba atapata mbele ya safari na alipitia Bagamoyo Road kuelekea Tanga.