Victim photo

Juma Zuberi Muhando

Hali: Hajulikani Alipo Umri:

Wasifu:

Alipoonekana mwisho: Dar es Salaam

Alipigwa risasi tarehe 2 kuamkia 3 mwezi wa 11 nje ya nyumba kwenye tukio la askari mstaafu Mwakabana walitoka kushaka wezi polisi walipo wakuta waliwapiga risasi waliokutwa pale mimi asubuhi familia ilikuta viatu na damu nyingi walitambua viatu vyake ila yeye hawakufanikiwa kumpata mpka leo akiwa hai au amekufa wamehangaika sana bila mafaniko mpka pale walipolazimika kumaliza msiba bila kumpata