Ezekiel Mollel
Wasifu:
Ni kijana mpole, asiye na Makuu, mpenda haki, na kikubwa zaidi alikuwa muumini mzuri na muudhuriaji mzuri katika ibada, alipenda kijitoa kwaajili ya wengine, wakati mwingine nilikuwa namshauri AJIKUMBUKE NA YEYE,,, lkn serikali ya Ccm imemkatili, kwani siku ya maandamano aliniambia BABA, ngoja nikaunganr na wenzangu, niombee, nisiporudi baaasi.
Alipoonekana mwisho: Dar es Salaam
—