Victim photo

Amatus Markato Masumira

Hali: Aliuwawa Umri: —

Wasifu:

—

Alipoonekana mwisho: Dar es Salaam

Aliuawawa kwa kupigwa risasi Tabata Liwiti akiwa amelala kwenye Benchi nje ya nyumba Ukifika Tabata Liwiti uliza Kifo cha Dereva wa Bajaji maarufu kama Baba Mdogo