‹ Nyuma
Philimon Mwangomango
Hali:
Aliuwawa
Umri:
45
Wasifu:
Alikuwa mwenyewe upendo na watu, mstarabu, kuheshimu watu pasipo ubaguzi
Alipoonekana mwisho: Songwe
Mitaa Mia kutoka nyumban kwake akienda dukan kununua biashara akapigwa risasi kifuani