Victim photo

Leonard Evarist Gulimo

Hali: Aliuwawa Umri: 25

Wasifu:

Leonard alikuwa mpole na mwenye tabasamu la upendo. Nilimsomesha na alikuwa mtu wa shukrani. Mungu awashughulikie wauaji wake pamoja na Athanas, na wawili rafiki zake!

Alipoonekana mwisho: Mwanza

Aliuwawa nyumbani Kisesa kwa bibi yake Nyamagenda tarehe 29.10.2015. Tumemzika Bujora!