Familia Xx
Wasifu:
—
Alipoonekana mwisho: Songwe
Tunduma
10/31/2025
Jirani walikimbia na waliporudi walikuta mwili wa Mama na familia ndani ya nyuma wameuwawa kikatili. Jirani aliyetoa habari amekimbilia Kigoma kwa sasa