Paul Veslas
Wasifu:
Alipenda sana mijadala ya michezo, mizaha na utani
Alipoonekana mwisho: Singida
Akimpeleka kwa pikipiki yake mwenyekiti wa vijana chadema wilaya ya Ikungi kwenye wito wa wasiojulikana. Wote walitoweshwa mpaka leo hawakurudi