Recpiki Pantaleo
Wasifu:
Atakumbukwa kama raiya mwema wa Tanzania ila kama familiar tunatamani tungeambiwa ailipo ndungu yetu au tuone kabuki lake
Alipoonekana mwisho: Arusha
Alishikwa na police na tukamtafuta kila kituo na hatukumpata