Victim photo

Petro Lusendamila

Hali: Aliuwawa Umri:

Wasifu:

Alienda kusimamia uchaguzi hapa mbeya katika zile vurugu alipigwa risasi na polisi ,mwili wake ulipelekwa hospital ya mkoa mbeya ,Kisha baadae ndugu zake walichukua mwili kusafirisha kwao Geita

Alipoonekana mwisho: Mbeya