Alex Elias Lyatuu
Wasifu:
Alex alikua mcheshi sana na mtu wa watu….alikua na heshima sana Alex. Alipenda haki!
Alipoonekana mwisho: Dar es Salaam
Hakuwa kwenye maandamano. Alitoka nje Gongolamboto kushangaa kumbe wauaji wametapakaa mtaani, akiwa getini kwake wakamuuliza jina akawajibu wakamuamuru anyooshe mikono juu apige hatua mbili mbele. Alivyofanya hivyo wakampiga risasi ya tumbo utumbo ukatoka nje ulamwaga chakula chote! Hakufa hapo hapo, alisaidiwa na jirani yake. Alifanyiwa oparation, alifariki 2/11