Victim photo

Athanas Kazimily

Hali: Aliuwawa Umri: 39

Wasifu:

Alipoonekana mwisho: Mwanza

Aliuwawa Kisesa Mwanza, kwenye ile documentary ya DW kuhusu mauaji ya Mwanza inayoongelea mauji ya mji mwema na kisesa, kwenye tukio la kisesa yule kijana wa saluni ndiye Athanas. Alikuwa kinyozi na mmiliki wa saluni aliuwawa pamoja na vijana wengine 3. Jumla wanne wote waliambiwa walale chini, wakalala wakapigwa risasi za vichwa wote wanne.Alikuwa mtu mwema sana,ameacha mjane na watoto 3. Ndugu yangu, classmate wangu na rafiki yangu kipenzi tuliyekuwa wote tangu primary na maisha ya mtaani.