Daudi Jusine
Wasifu:
Alikuwa ni mtu mwema aliependa kuwasaidia masikini.
Alipoonekana mwisho: Mwanza
Aliuwawa kwa kupigwa risasi Kisesa. 29 Oktoba 2025 alipigwa risasi akiwa barabarani anatembea.polisi waliuchukua mwili wake na kuupeleka bugando hosipitalini.tulienda kuuchukua mwili na kwenda kuzika kwao msoma