Baraka Yohana
Wasifu:
—
Alipoonekana mwisho: Dar es Salaam
Alikuwa amekaa nyumbani kwake ukonga mazoezini, tarehe 29 Oktoba 2025.mara akaja polisi wenye siraha wakampiga risasi za kifuani.wakabeba mwili wakaondoka nao,haya yalifanywa mbele ya mke wake na mtoto wake mdogo .