Victim photo

James Kapaga

Hali: Hajulikani Alipo Umri:

Wasifu:

Alipoonekana mwisho: Dar es Salaam

10/30/2025 Alipigwa risasi nyumbani nje na polisi wakaondoka na mwili wake. Familia ilifuatilia hospitali zote ikiwemo Mwananyamala na walionyeshwa orodha ya watu ingawa walihoji inakuwaje mtu aliyepigwa risasi ataweza kujitambulisha. Hatimaye kwenye video ya mortuary ya Mwananyamala wakaja kumwona James ingawa mwili wake hadi sasa haujapatikana