‹ Nyuma
Maiko Masonganya
Hali:
Aliuwawa
Umri:
23
Wasifu:
Marehem akumbukwe kwa ucheshi, upole…hakua na shida na mtu yoyote. Alikuwa mtu wa watu.
Alipoonekana mwisho: Dar es Salaam
Alikutwa ameuwawa kwa kupigwa risasi jijini Dar tarehe 29 0ctober 2025