David Julius
Wasifu:
—
Alipoonekana mwisho: Mwanza
10/31/2025
Familia ilimwona mara ya mwisho tarehe 31 Ocotber na walimtafuta kila mahali hadi walipoona video ya miili ya Sekou Toure ila kila walipoenda kuulizia mwili walitishiwa na hawajapata tena mwili wake