Victim photo

Johnson Tendega

Hali: Aliuwawa Umri: 24

Wasifu:

Alikuwa ni kijana mchapakazi sana, nguvukazi ya taifa ilizimwa tarehe 29 OKTOBA 2025

Alipoonekana mwisho: Dodoma

Alikuja Dodoma akitokea Dar kwa ajili ya kazi ya ujenzi wa nyumba