Victim photo

John Mtweve

Hali: Aliuwawa Umri: 42

Wasifu:

Huyu john mtweve alipigwa risasi eneo la mbezi kwa msuguri tarehe 31/10/2025 alifuatwa ktk nyumba hapohapo kwa msuguri akatolewa na police na kupigwa risasi nje ya nyumba baadae alikimbizwa hospital ya bochi na kufariki dunia baada ya kuvuja dam nyingi.kwamsuguri walipigwa risasi watu wa tatu na kufa hapo hapo

Alipoonekana mwisho: Dar es Salaam

Alipofaliki kwa kupigwa risasi wananchi wa hapa mbezi kwa msuguri tulishugurikia mazimo yake yalifanyika pale makaburi ya mishiri kibanda cha mkaa mbezi.aliuwawa akiwa nyumbani hapo hapo kwa msuguri