‹ Nyuma
Kelvin Asenga
Hali:
Aliuwawa
Umri:
24
Wasifu:
Tumeendelea kudai mwili wa mpendwa wetu tunaambiwa hayupo motuari na bado hatuji tufanyajee
Alipoonekana mwisho: Arusha
Alisema anaenda kupambania haki yake.