Xx Xx
Wasifu:
—
Alipoonekana mwisho: Simiyu
Bariadi
10/28/2025
Alikuwa ni moja ya vijana wa kitanzania waliokuwa wakidai mabadiliko na uhuru kwenye uchaguzi mkuu lakini aliuliwa na watu wenye risasi za moto nyumbani kwake