Victim photo

Tysoni Komba

Hali: Alijeruhiwa Umri: —

Wasifu:

—

Alipoonekana mwisho: Ruvuma

Alikuwa Njiani Kwenye Bodaboda akielekea Nyumbani Akapigwa Risasi Iliyopelekea kuvunjika mfupa wa mguu