Simjui Jina Xx
Wasifu:
—
Alipoonekana mwisho: Dar es Salaam
10/29/2025
Alikuwa amesimama nje animal anashangaa taharuki iliyokuwa inaendelea mara ghafla wakatokea askari kwenye Barabara kubwa waking kwenye defender na kuanza kuwafyatulia watu risasi ovyo na hatimaye ikampata huyo mzee.Alipelekwa Mwananyamala hospitali