‹ Nyuma
Brayani Gasper
Hali:
Hajulikani Alipo
Umri:
26
Wasifu:
Jamaa alipenda sana kazi na alikuwa mtu wa kufurahi muda wote
Alipoonekana mwisho: Dar es Salaam
Mara ya mwisho alionekana tarehe 29/10/2025 Tabata bima mpaka Leo hajulikani alipo