Victim photo

Hussen Mkamba

Hali: Aliuwawa Umri: 31

Wasifu:

Alipenda utani mtu wa watu, alipendelea zaid kucheza Fifa games, alipigwa risasi ya kwenye mbavu dar es saalam Mcheshi, hana baya na mtu starehe yake ps5, Alikua kijana mzuri na mwenye elimu nzuri,

Alipoonekana mwisho: Dar es Salaam

Alikuwa anafanya kazi kwenye kampuni inayofanyia service ATM aliuwawa wakati akienda kwenye majukumu ya kikazi. Alikuwa anaelekea kwenye majukumu yake ya kila siku