Evance Kimaro
Wasifu:
Ni mcheshi mara ya mwisho akiwa sanawari aliwanunulia washkaji vinywaji kisha akaondoka kuelekea kwake
Alipoonekana mwisho: Arusha
Aliuwawa kwa risasi ya kichwa eneo la shule ya Shinda akielekea uswahilini