Francis Marunda
Wasifu:
—
Alipoonekana mwisho: Dar es Salaam
Tulimtafuta sana baada ya Tar 29, Lakini wakati internet imeachiwa tuliweza kuona moja ya Clip akiwa amekufa kwa Kupigwa risasi, Mwili wake ukiwa pembezoni mwa barabara, Hatujaweza kuuona mwili hadi Leo