Jackson Kereto Birikaa
Wasifu:
Jackson Kereto Birikaa, ni kijana kutoka kitongoji cha Esirwa, Kijiji cha Endulen, Kata ya Endulen, Tarafa ya Ngorongoro, Wilaya ya Ngorongoro.
Aliuliwa Jijini Mwanza akiwa kwenye shughuli ya kuuza viatu (Machinga). Aliuwawa na Polisi tarehe 29/10/2025. Wenzake wawili walijeruhiwa Kwa risasi
Alipoonekana mwisho: Mwanza
Aliuwawa na Polisi, mwili imepatikana kwani alikuwa na marafiki zake ambao wawili kati yao walijeruhiwa kwa risasi