Victim photo

Masoud Ramadhan Masoud

Hali: Aliuwawa Umri:

Wasifu:

Alipoonekana mwisho: Dar es Salaam

magomeni kagera 10/29/2025 Huyu ameuawa alipigwa risasi ya tumboni na mguuni pale biafra ,akapelekwa muhimbili maiti tumeiona jana tumemzika leo kisutu.