Mama Brandina Xx
Wasifu:
—
Alipoonekana mwisho:
29/10/2025 Ilikuwa siku ya uchaguzi mkuu Tanzania, uchaguzi haukuwa wa haki hivo mama branding alikuwa mmoja ya waandamanaji kudai haki za kuishi, uchaguzi huru na wa haki pamoja utawala bora. Polisi Tanzania walimpiga risasi na kumuua akiwa anakimbia kuokoa uhai wake