John Magari
Wasifu:
John Magari, ni Kijana ambae alikuwa mcheshi sana, mchangamfu sana na sehemu kubwa ya Maisha yake aliyatumia katika kumtumikia Mungu. Ameacha watoto watu na mkee Mmoja ambae alishuhudia mauwaji yake, maeneo ya Magomeni kwa kupigwa Risasi.
Alipoonekana mwisho: Dar es Salaam
Aliuwawa kwa kupigwa risasi Sinza, Dar