Victim photo

Fadhili Aboubakar Chahe

Hali: Aliuwawa Umri: 50

Wasifu:

Mweusi, mpole, mrefu ,mnene kidogo mnyenyekevu na mtu mwenye aibu

Alipoonekana mwisho: Iringa

Aliuawa,mwili ulipatikana na alizikwa Iringa