Amatus Markato Masumira
Wasifu:
Dereva bajaji
Alipoonekana mwisho: Dar es Salaam
Alikuwa Dereva wa Bajaji Tabata Liwiti. Alipigwa Risasi wakati yupo kwenye Benchi katulia. Risasi ilimfuata pale na kumpiga kifuani upande wa moyo.