Victim photo

Jeniffer Jovin Bilikwija

Hali: Hajulikani Alipo Umri:

Wasifu:

Alipoonekana mwisho: Dar es Salaam

Mikocheni 10/27/2025 Alikua yupo kazini kwake kama kawaida,ghafla likaja gari na watu wanaume wanne waliovaa nguo za kiraia,wakampiga sana na kumchukua na kuondoka naye. Walisema yuko kituo cha polisi lakini mpaka sasa hatuna taarifa yoyote.