Evelius Rwezaula
Wasifu:
Alihitimu kidato chá sita akajiunga jkt alienda dar kujishughukisha akitokea kwao mkoaKagera wilaya Muleba kata Muhutwe kijiji Kangantebe,,na Sasa tumeshamaliza msiba bila mwili,,ikumbukwe kijj Kangantebe VJANA waliokufa ni wa3 wote walifia dar Tarehe 30 oct
Alipoonekana mwisho: Dar es Salaam
Aliuawa na tumezika hewa bila mwili