‹ Nyuma
Saimoni Wa Lushoto
Hali:
Aliuwawa
Umri:
30
Wasifu:
—
Alipoonekana mwisho: Dar es Salaam
Alipigwa risasi akafariki na akapelekwa hospitali na baada ya hapo hakuonekana tena baada ya ndugu kwenda hospital kuchukua mwili kwa ajili mazishi yake