Alpha Omega Thomas Kambo
Wasifu:
—
Alipoonekana mwisho: Dar es Salaam
Alipigwa picha akiwa kwenye dimbwi la damu maeneo ya kinondoni mkwajuni na ikasemwa alipelekwa mwananyamala hospital na hakupatikana wodini wala mochuari ya mwananyamala, muhimbili , amana nk