Victim photo

Juma Xx

Hali: Hajulikani Alipo Umri:

Wasifu:

Alipoonekana mwisho: Dar es Salaam

Tarehe 29/10/2025 Ilikuwa ni siku ya uchaguzi mkuu nchini Tanzania.kupelekea wananchi hatukuridhishwa nao tuliamua kuandamana kupinga uchaguzi ambao haukufuata misingi ya kidemokrasia,kupinga utekwaji wa watu,manyanyaso na mateso tuliyokuwa tunapitia wananchi.wakati maandamano yakiendelea polisi walitumia mabomu ya machozi,virungu kutuliza watu lakini baadae wakaanza kutumia bunduki kuua watu, nikiwa katika maandamano vijana wengi walipigwa bunduki tuliwabeba baadhi tukaingia kwenye nyumba...