Elia Kimaro
Wasifu:
Alikua mtu mpole, mwenye upendo sana na mchakato
Alipoonekana mwisho: Arusha
Alikua akitoka stendi ya mabasi Arusha kuchukua mzigo wake, wakati anarudi alipigwa risasi na Askari polisi wa jeshi la Tanzania