Dogo Jikubali
Wasifu:
Alikuwa kijana wa nyamongo, mtaa wa Masebe. Alipigwa risasi tarehe 30 october na jeshi la polisi. Mwili wake ulichukuliwa hadi pale diwani bugomba alipohakikisha umerejeshwa nyumbani kwa maziko..
Maziko yake yalifanyika chini ya vikwazo vya kiserikali ambapo familia pekee ndo iliruhusiwa kuzika.
Ameacha mke na watoto katika kipindi kigumu sana maana yeye ndo alikuwa tegemeo la familia.
Alipoonekana mwisho: Mara
Marehemu alipigwa risasi akiwa mtaani kwake. Hakuwa katika maandamano wala ghasia