‹ Nyuma
Greyson Komba
Hali:
Aliuwawa
Umri:
35
Wasifu:
Mrefu, maji ya kunde, alikuwa mpole na mtulivu anapoongea. Ni mtu ambaye alikuwa hapendi uongo au uonevu.
Alipoonekana mwisho: Ruvuma
Alipigwa risasi Msamala akiwa Nyùmbani.