Anold Amanyisye
Wasifu:
Azam Journalist
Alipoonekana mwisho: Mbeya
Alipigwa risasi Mwanjelwa Mbeya tarehe 29 na maiti kupatikana tarehe 30 hospital ya mkoa wa Mbeya. Maiti hiyo ilipelekwa pale na rafiki zake ndiyo bahati ilipatikana, na tulizika tarehe 6/11/2025 nyumbani kwao Ihowa Mbozi