Joshua Xx
Wasifu:
—
Alipoonekana mwisho: Geita
mbogwe
10/29/2025
Alipigwa risasi akiwa kwenye maandamano ya amani ya kudai haki nchini tanzania juu ya kudai katiba mpya tume huru ya uchanguzi na ukandamizaji wa haki za kibinadamu hasa watu kupotea ovyo bila taarifa rasimi kutoka kwenye vyombo vya ulinzi Hajapatikana