Ebenezer Alais Laizer
Wasifu:
Ameacha mke na mtoto mmoja
Alipoonekana mwisho: Dar es Salaam
Alitoka nyumbani kufuata mahitaji ya nyumbani akapigwa risasi tarehe 29 Oktoba alipelekwa hospitali baadaye familia ilitaarifiwa kuwa amefariki.