Victim photo

Peter Makundi

Hali: Aliuwawa Umri: 37

Wasifu:

Akiwa wakili msomi, Peter Elibariki Makundi alikuwa baba wa watoto wawili na mke mmoja. Akiwa kama kaka ameacha wadogo zake wawili. Aliiependa familia yake na Mungu pia. Alikatishwa maisha na risasi iliyompiga karibu na moyo na kuzikwa tarehe 5 November- Choza, Morogoro. RIP a good friend.💔

Alipoonekana mwisho: Dar es Salaam

Alikuwa maeneo ya shekilango sokoni, ndipo umauti ulipomkuta.